Jump to content | Home

Portcities London

reflecting our cultures

[Bypass: Visit the Port Cites Consortium ]
[Bypass: Search Facilities ]
      Advanced Search

Maritime London Partnership

-Bypass site links |  Full graphics | About this Site | Feedback

On this site:

[Bypass: Main Menu ]
You are here:  PortCities London home > People and places > Port communities


The Swahili community and maritime London

Chapter Index
Send this story to a friend | Printer-friendly version | View this story in pictures
A Swahili translation of the full story


Debaji

Map of the Swahili speaking community
View full size imageEastern Africa. The Swahili homeland. © NMM

Kwenye karne nne maelfu ya watu ambai wamezaliwa Afrika wasili kwenye bandari ya London. Shuhuli ya Uingereza kwenye Bahari ya Atlantik na biashara ya utumwa mengi yameandikwa kuhusu watu kutoka Afrika kaskazini.
Masimulizi haya ina husiana na watu ambao wagea lugha ya Kiswahili na jamia kutoka Afrika mashariki na uhusiano wao na Unguja (Zanzibar) kwenye biashara wa watumwa katika Bahari ya Hindi.


Wabaharia wa Msimu


A model of a mtepe.
View full size imagePhotograph of the model of a Mtepe. © NMM
Zaidi ya maika elfu mbili kumakua na anuali kuhusu biashara ya mashariki ya Afrika. Mgiriki kwenye pwani katikati ya karne ya kwanza AD ina taja msimu wa Bahari ya Hindi na kituo cha biashara kilicho itwa Raphta.
Nguo ziliagizwa kwenye kutuo hiki, ambayo kinaseme kana kilikwako mzumo na visiwani vya Lamu. Watu wa pahali hii walikuwa na mitubwi wa misigo au mbao miti ambayo ili shonwa mamoja. Mitubwi hii au mtepe na mashua alikuwa na tanga za mraba. Mtepe ilikuweko kwenye pwani ya Afrika mashariki mpaka karne ya kumi na tisa.

Mfiko wa Waindonesia


Indonesian outriggers, Bali, Indonesia.
View full size imageIndonesian outriggers, Bali, Indonesia. © NMM
Katika wakati kwenye majira ya kwanza wa miaka elfu moja, moja na mbili ya jamii za Waindonesia walisafiri kufikia Bahari ya Hindi mpaka Afrika mashariki, kupitia visiwa vya Komoro (Comoro Islands) na Bukini (Madagascar).
Wabaharia walileta mgomba mandizi, viazi vikuu, mnazi na mchele. Pia walileta mitumbwi yenye ngalawa. Hivi leo lugha ya Kimalagasi kutoka Bukini (Madasgacar) ina husiana na lugha za Indonesia na Bahari ya Pacifik, badala ya lugha za Afrika.

Mabaharia wa Waswahili


Model of a Dau la Utango/Lamu Dhow.
View full size imageModel of a Dau la Utango/Lamu Dhow. © NMM
Visababu vitatu vili fanya Waswahili kuwa mabaharia maarufu.

Kwenye muda wana mabaharia wa Waswahili wali buni mivumo yao ya mashua kama ya Washirazi na wakafanikiwa kusafiri Bahari ya Hindi nzima.  

Majimbo ya migi ya Afrika Mashiriki.

Asili ya Waswahili


Dhows at Tarut Island, Saudi Arabia.
View full size imageDhows at Tarut Island, Saudi Arabia. © NMM
Kwenye safari ya baharini ya kibiashara Wamanga wali chukua wake wa Kiafrika huko Afrika mashariki. Watoto walijifunza lugha ya mama zao na huku wakichukua manjina kutoka lugha ya baba zao pia. Lugha hii mpia ili itwe Kiswahili kutokea kwa neno (Sahil) mana yake pwani kwa lugha ya Wamanga. Lugha hii mpya ya Kiswahili ya wezekana kwamba ili tokea visiwani Lamu karne 800AD.

Upokeaji wa Kislamu


Dhow anchorage in Mombasa.
View full size imageDhow anchorage in Mombasa. © NMM
Hadi kwenye karne ya kumi na moja Waswahili walijenga msikiti. Kule Manda (karibu Lamu) kuidhimisa upokeaji wa Kislamu. Mandishi ya kale ya kichina na ya Kimanga pamoja na maarifa ya mambo ya kale (archaeology) ya kisasa ina ithinisha kisio hiki. Kutoka visiwa vya Lamu Waswahili walisafiri baharini hadi kaskazini na kusini na wakaeneza lugha na dini pia. Hatimaye makao ya Waswahili yalienea kwenye pwani ya Afrika mashariki kutoka Somalia hadi Bukini (Madagascar) na Msumbiji (Mozambique).

Biashari ya Dhahabu


Ruins of the walled city of Gedi, Kenya.
View full size imageRuins of the walled city of Gedi, Kenya. © NMM
Kwa kutenganishwa na nchi na pia bahari wa Swahili walisitawisha na kujitosheleza kipeke kwenye makao yao kujita.
Kwenye karne ya kumi na moja wa Waswahili kama Kilwa huko Tanzania ili tawala nzingi ya biashara ya dhahabu hadi huko Zimbabwe na eneo na mashiriki ya kati. Miji mingine kama Malindi, Mombasa (Mvita) na Zanzibar (Unguja) walijitende  keza na biashara ya pembe ya tembo.

Ruins of a house at Jumbe la Mtwana, Kenya.
View full size imageRuins of a house at Jumbe la Mtwana, Kenya. © NMM
Mabaharia wa Wamanga na Washirazi wali na fikia pwani ya Afrika mashariki kwajili ya pembe za ndovu na watumwa. Watumwa hao walijulikana kama Zanji ama Zanj.
Ruins of a mosque on the beach at Jumbe la Mtwana, Kenya.
View full size imageRuins of a mosque on the beach at Jumbe la Mtwana, Kenya. © NMM
Kwenye mwanzo wa karne ya kumi na tano mashua kubwa za Uchina zili tia nanga tembelea Afrika mashariki na kuchukua twiga mbili na mabalozi wawili kutoka Malindi hadi kwa Uchina.

Kuwasili kwa Wareno


Mombaza c.1550.
View full size imageMombaza c.1550. © NMM
Wakati wareno walipo wasili pwani ya Afrika mashariki kwenye karne ya kumi na mbili. Walikuta Waswahili wakiishi mijini, na walikuwa na uhusiano wakibiashara ambao ulienea kutoka Bahari ya Sham (Red Sea) na Bahari ya Fars (Persian Gulf) hadi Uchina. Misikiti na kaburi zili pambwa na vyombo vya kauri ya Uchina.
Watagiri waliva kanzu za pamba ya Barahindi na hariri ya Uchina. Na pia miji wa Kilwa ili tengeneza pesa zake.

Quiloa.
View full size imageQuiloa. © NMM
Katika karne zingine mbili. Ngome za Warenu huko Malindi, Mombasa na Kilwa. Wareno waliajili mabaharia Waswahili kwenye chombo cha matanga  kusafiri Bahari ya Hindi na Ulaya hadi Brasil. Hawa mabaharia wa Afrika mashariki wanaonekana na Wareno kwenye sanaa, vitabu ya masimuluzi ya wenyeji, wa Sri Lanka, Barahindi, Malaysia na Japan.

Kuwasili kwa Waingereza


A Jahazi Dhow at Lamu, Kenya.
View full size imageA Jahazi Dhow at Lamu, Kenya. © NMM
Kati 1589 chombo cha matanga ya kwanza kusifiri ya mashua Afrika mashariki Edward Bonaventure, ili tia nanga huko Unguja na kubakia huko muda wa miezi mitatu, ikiongojea mvumo wa msimu ubadilika kabla ya kusafiri Barahindi.

Bedroom in a 19th-century Swahili house, Lamu, Kenya.
View full size imageBedroom in a 19th-century Swahili house, Lamu, Kenya. © NMM
Hadi 1700 Wareno walisukuma kutoka pwani ya Afrika mashariki kwingi, ijapokua Msumbiji. Wali badilishwa na eneo la nguvu za wa Umani (Omani) makao yao ikiwa huko Muskat.

Kuna ushahidi kwamba chombo cha matanga za Kampuni ya Uhindi Mashariki (East India Company) zili safiri kwenda Uhindi zikipitia huko visiwani Komoro. Moja ya hizi chombo cha matanga Princess of Wales I ili wasili huko kisiwa ya Anjuan (Johanna Island) mwaka wa 1733 kwenye safari yake kwenda Uhindi. Maandishi yakelezea kutia nanga kwa chombo cha matanga hii, yali chapishwa kwe orodha asili ya safari zake.

Interior of a 19th-century Swahili house, Lamu, Kenya.
View full size imageInterior of a 19th-century Swahili house, Lamu, Kenya. © NMM
Uvutiaji wa lugha ya Kiswahili kwenye Kiingereza inatupatia ushahidi kwamba utaratibu uhusiano kati ya mila hizi mbili, majina ya Kiingereza kama safari, tank, cowrie na dhow ina dhihirisha kwamba uhusiano wa kibiashara ulikuepo.

Waswahili Kwenye Bandari ya London.

Wajumbe wa Sultani


Kwenye 1832 Sultani Sayyid Said, alihamisha mji mkuu wa umiliki wake kutoka pwani ya Uman yali Unguja. Miaka miwili badaye Munguja kwa njina la Khamis Bin Uthman aliwasili huko London na kudai ya kwamba yeye ni ana wakilisha sultani wa Unguja. Huyu njumbe alisihi ujumbe na mfalme William IV lakini kuna shaka kama alikiriwa kukaribishwa na 1836 Sultani Sayyid Said alituma manowari ya mizinga 74 kama zawadi kwa mfalme William IV. Manowari hii ilijengwa huko Bombay na kuitwa kwa njina la Imaum.

Waswahili kuja Pwani


View of town and harbour of Port Royal, Jamaica.
View full size imageView of town and harbour of Port Royal, Jamaica. © NMM
Imaum badaye ilibadiliishwa kwenye jina la Liverpool na kuwa merekubu wa Waingereza. Wamabaharia Waswahili hawa kushuka chini huko London kusini. Huko Deptford na Greenwich walidhulumiwa na wafanya kazi na mabaharia wazamani wa shule ya monwari. Watatu wamabaharia hatimaye walijilipiza kisasi halafu wakapelekwa kwenye kituo cha polisi.

Basi walichiliwa bilia hatia mahakama ya wala kusutmiwe na wakakubaliwa kuondoka Deptford na kusafiri kwenye mashua ilio itwa Prince Regent. Mashua hii pewana na mfalme William IV kwa Sultani Sayyed Said.

Kuwasili Kwa Balozi Mpya


The Anglican Cathedral From Opposite the Creek, Zanzibar.
View full size imageThe Anglican Cathedral From Opposite the Creek, Zanzibar. © NMM
Baada ya kifo cha William IV mwaka wa 1837, Sultani Sayyid Said alituma balozi mwingine huko mji wa London. Ali Bin Nasr alikua jama ya sultani na pia mtawale wa Mombasa. Kwenye kikundi cha mawaziri kulikuwa na bwana Mohmmed Bin Khamis kijana wa balozi wa alikaribishwa rashmi na malikia Victoria na bwana yake mwana wa mfalme Albert badaye alirudi huko Unguja na merikebu kupitia Misri (Egypt) na Bombay katika mwakami Mohammed Bin Khamis alibaki mjini London na akajifunza unahodha na pia kusomea lugha za kisasa. Alirudi huko Unguja.

Sultannah


Sultannah at St Katherine Dock.
View full size image'Sultannah' at St Katherine Dock. © NMM
Mapema mwezi Februari 1842 Sultanna ili chwajua na kuweka tanga kutoka Unguja na nahodha Wakimanga na mbani. Ilibeba balozi Wanguja Ali bin Nasr na Mohammed bin Khamis ambaye alikuwa mtafsiri wake. Sultannah safiri mviringo kwenda kusini wa Afrika hadi kisiwa ya St.Helena na kupanbana na mawimbi baharini hadi magharibi Bahari ya Atlantik kabla ya kuwasili mtoni wa Thames mwezi wa sita 1842. Merikebu ulikua imeharibiwa kidogo na kibunga cha mawimbi baharini na ikavutwa na meli ngingine hadi Deptford. Keshoyake Sultannah ili vutwa hadi kule St.Katherine’s gudi.

Mukutano na Malikia


Balozi wa Unguja alipelekwa hotelini Portland na mwalimu mkuu Sir Charles Forbes wa Aberdeen University. Manowari Sultannah na wamabaharia wake walipewa uwangalifu wakati walipokea kule St.Katherine’s gudi na pia balozi Ali Bin Nasr alipate fursa ya kukutana na malikia Victoria na bwana wake kijana wa mfalme Albert huku Julai 1842. Wakuu wamanorwari walitoa amri ya kwamba manowari Sultannah ifanyiwe marekebisho kwa ngarama ya umma yari serikali ndipo ulipelekwa Woolwich kwa marekebisho ya ufundi. Balozi aliodoka mjini London tarahe 1 Desemba 1842. Kwenye marikebu hadi Misri (Egypt), kupitia Aden kisha Unguja. Merikebu Sultannah badaye ilitiananga hadi Unguja.

Ziara ya Sultani


Zanzibar and shipping taken from HMS London, in 1875.
View full size imageZanzibar and shipping taken from HMS London, in 1875. © NMM
Sultani Sayyed Barghash wa Unguja alifanya ziara yake kule Royal Arsenal kijinini Woolwich katika mwezi wa Aprili 1875. Igawaje kampi ya jesi ilikuwa tupu bila waskari wake. Walitia kila jitihada kumkaribisha wa kirashmi na heshima ya wanajeshi. Sultani na wajumbe wake wali shangiliwa na wana muji wa London wakati safiri kwenye kutoka London ya kati hadi kule Woolwich.

Kupeperusha bendera ya Umoja wa Uingereza.

Waswahili kwenye Manowari ya Kifalme


HMS Wild Swan
View full size imageHMS 'Wild Swan'. © NMM
Manowari za kifalme ziliajiri Wafrika mashariki mapema kutoka 1863. Kufikia 1881 kulikua na jumla ya Waswahili kutoka Afrika mashariki ambao waliajiriwa kwenye manoweri za kifalme kukaribisha kama wenyeji wa Waingereza.

HMS 'Seagull'.
View full size imageHMS 'Seagull'. © NMM
Kuna usahidi imara kuonesha kwamba watu wa Afrika mashariki walikueko chomboni yani Seagull, Dryad, Woodlark, Wild Swan na Iris. Wengine kati ya watu hawa waliku wa Wamanga na Waswahili kutoka Unguja, ambao waliajiriwa kama watafsiri wa lugha na manowari ya kifalme nyakati za kupambana na uzuiyagi wa utumwa huku Afrika mashariki.

Fort Sebastian on Mozambique Island
View full size imageFort Sebastian on Mozambique Island. © NMM
Wengi wa wanaume na vijana kutoka Afrika mashariki kwenye manowari ya kifalme, walikua watumwa ambao walikombolewa kutoka mikononi ya Wafaransa, Wareno, amo mashua za Waunguja zikiwa safarini kwende kule kisiwani ya Reunion ama Arabuni. Wengine wa watu hawa walikua amekamatwa huko barani katika fasi ya maziwani makubwa karibu na Uganda, Tanzania mashariki, na Malawi pia Zambia.

Depot for boats of HMS London at Funzi, Pemba
View full size imageDepot for boats of HMS London at Funzi, Pemba. © NMM
Watumwa wangi walifunza lugha ya Kiswahili wakati wakiwa matekwa kwenye masafiri. Matekwa ya Wamanga na pia Waswahili kwenda huko pwani, ama kwenye sokoni za watumwa huko Bagamoyo, Unguja, Kilwa, kisiwa ya Ibo, ama kisiwa ya Msumbiji (Mozambique Island). Baada ya kukombolewa watumwa walipelekwa na manowari ya kifalme, makaoni ya Nasik (karibu Bombay) kule nchi ya Uhindi.
Hapo watumwa wali ongolewa kuwa Wakristo na hasa kufundishwa kusoma na kuandika.

Wengine wa watu hawa waliajiriwa na manowari ya kifalme kama “Seedies” na kupewa majina kama Happy Jack, Rapid, Soda Water, Jack Seabreeze na Johns. Jamii ya watumwa iliobaki huko Bara Hindi hivi leo wanaitwa “Sidis”.


Watu wa Afrika Mashiriki mjini London


The Swahili carrying the Union Flag.
View full size imageThe Swahili carrying the Union Flag. © NMM
Hatimae kwenye kiwango nusu cha karne ya kumi na tisa bada ya kufunguliwa kwa mfereji wa Suez ha hatimaye pole pole ubadilishaji wa meli za mashua na nguzu za mvuke wa maji ya moto. Wamabahria wa Afrika mashariki waliaza kuwasili mjini London kwenyi vikundi vikubwa, hasa kwenye manowari za mabaharia ikiwa watu hawa wakipata kupelewa na shida wali kibilia kutafuta makao kwenye nyumba za Wahindi, Wafrika, watu wa visiwa  ya kusini na pia wangine waliofahidhi mwakani 1857 kule gudi la West India. Hapa watu wa Afrika mashariki wali shangaa ya kwamba bwana Joseph Salter wa London City Mission aliongea Kiswahili.

Katika mwaka wa 1873 bwana Salter alitunga arodha ya mwaka ya watu wasio Wazungu hapo mjini London alikisia ya kwamba kulikua na watu 3,773 wasio na asili ya Kizungu hapo London, kati 1,200 walikua kutoka Afriki mashariki. 

Jami ya Afrika Mashariki huko London


The P&O liner Indus (1871).
View full size imageThe P&O liner Indus (1871). © NMM
Mafamikio yetu ni machache kuhusu jamii ya Afrika mashariki mjini London hapo mwishoni mwa karne ya kumi na tisa. Ijapokuwa tunajua wengineo wa watu kutoka Afrika mashariki, wali ishi na kufanya kazi hapo mjini.

Wawili waliokua watumwa kutoka Afriki mashariki waliishui hapo magharibi mwisho London kati. Pipoo Buckle alikuwa na mkuu wa manowari, Richard Mayze kule Kensington, na Robert Sprat alikuwa mlinzi kule Hannover Square. Ali Said kutoka Unguja ali ishi hupo Harrow kijijini.
Kulikua na wabaharia wengine kutoka Afrika mashiriki kwenye bandari ya London, hasa huko East Ham, wantokea kwenye orodha ya watu mwaka wa 1881 kwenye meli SS Indus, SS Pelhim na SS Ellora. Wengi wa watu hawa walijiriwa kama wasima moto, wate kaji maji, na wabebaji makaa ya meli.

Hadith ya Juma


Pinnace for chasing slaves, probably attached to HMS London.
View full size imagePinnace for chasing slaves, probably attached to HMS London. © NMM
Mara nyingi hadhidhi silizo chapiswa ni zile za huzuni kuhusu Wafrika ya Uingereza yakati za karne ya kumi na tisa. Moja ya kasha maalum inahusia mbaharia Mswahili ambayo ilichapiswa na London City Mission mwaka 1881. Ingawaje iliandikishwa kama Juma, pengine huenda ikawa jina lake ilikuwa Juma. Mtu huyu alikuwa mtumwa hapo mwazoni, alikuwa amenzwa kule Unguja kwenye sokoni la watumwa, halafu akawekwa kwenye mashua ya Wamanga na kufasafarishwa Bahari wa Hindi hadi kule Arabuni. Mashua hiyo ilitekwa na manowari ya Waiingereza. Na Juma akakombolewa na kupelekwa hadi Bombay. Kisha Juma iliyajiriwa na manowari ya kifalme ya biashara na kuletwa mjini London. Wakati alikuwa pwani kule mashariki ya London waenzi pia wa Afrika mashariki. Walipatwa na ziaka bada ya kugombana na watu wanyeji, na akastumiwa ya kwamba alimdunga kisu Waingereza mkononi. Juma alishikwa ni polisi na kupelekwa mahakamani kule Chelmsford. Kwa sababu hakukupatikana na silaha kwenye sehemu ya uhalifu. Juma alikpalikana na hatia ya ugomvi na akawachiliwa huru alirudishwa kule Bombay kwenye meli jina la Brindisi.

Mageuzi Makuu


Mosque and Islamic Centre, Greenwich.
View full size imageMosque and Islamic Centre, Greenwich. © NMM
Mabaharia wa Kiswahili aliendela kusafiri mjini London kwenye meli za kibiashara kama Java, kule Royal Albert Docks mwaka wa 1901. Hivi sasa kuna jamii ya Waswahili hapo mashariki ya London, na East Ham, pia na jamii ndogo kusini mwa mtoni kule Bexley na Greenwich. Jamii zote zimetokea kule kisiwani Unguja na walifikia mjini London kwa sababu ya mapinduzi makuu mwaka wa 1964 kule Unguja ambayo maliza utawala wa sultani. Jamii hizi za Unguja wana uhusiano na jamii zingine kule Portsmouth, Paris na Oman.

Hivi karibuni wengine wa jamii kutoka Afrika mashariki wali wasili kama wakimbizi kutoka Uganda na Rwanda. Wenzi wa watu hawa na pia Wahindi wa Afrika mashariki na wa Somali pia wanaongea Kiswahili.

Sabaha.
View full size imageSabaha. © NMM
Zulaika.
View full size imageZulaika. © NMM
Chapter Index
Send this story to a friend | Printer-friendly version | View this story in pictures


[Bypass: Search Facilities ]
      Advanced Search

Glossary

Bombay
Dock
Outrigger
Port
Sumbuq

FIND OUT MORE

RELATED RESOURCES


25 ImagesTop | Legal & Copyright |  Partner Sites: Bristol | Hartlepool | Liverpool | Southampton | About this Site | Feedback | Full graphics